TIMU ya Azam FC leo imeibuka na ushindi mnono wa mabao 8-1 dhidi ya klabu ya Namungo FC.
Mchezo huo wa kirafiki umechezwa uwanja wa Chamazi ukiwa na lengo la maandalizi kuelekea mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Simba Uwanja wa Taifa,pamoja na mechi ya kimataifa dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na Djodi ,Seleman ,Sure Boy, Kangwa, Chilunda, Chirwa, Kassim, Kipagwile kwa mkwaju wa penalti (p).







0 COMMENTS:
Post a Comment