August 13, 2019



MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya Tottenham Hotspur, Darren Bent anaamini kuwa nyota mpya Alex Iwobi hana uwezo wa kutamba ndani ya kikosi hicho.

Iwobi ambaye amejiunga na Everton akitokea Arsenal Kwa kandarasi ya miaka mitano ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Everton.

Dau lake ni pauni milioni 28, akiwa ndani ya Arsenal kwenye michuano yote amecheza jumla ya mechi 51 amefunga mabao sita na assist tisa msimu uliopita.


 "Mimi ni shabiki wa Arsenal, sijawahi kuwa shabiki mkubwa wa Iwobi, hakuwa na ubora halisi, hakuwa na maamuzi sahihi kwenye mpira muda mwingi,".

Iwobi raia wa Nigeria akiwa ndani ya Arsenal alicheza jumla ya mechi 100 za Ligi Kuu England, alianza kuitumikia Arsenal akiwa na miaka 8

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic