August 6, 2019

3 COMMENTS:

  1. Okwii itihadi Misri
    Juuko Waydad casa Blanca Moroco
    Zana Culinaly As vita
    Kotei Kaiser chiefs SA
    Hii inaonesha jinsi gani klabu vigogo Africa wanavyoiheshimu Simba kwa kutambua kuwa wachezaji wake wengi wapo kwenye viwango bora. Lakini kwa upande mwengine ni masikitiko kutoka kwa wachezaji wetu wazawa ambao wameshindwa kabisa kuitumia Simba kujitangaza na kusonga mbele zaidi kama wanavyochangamka wachezaji wageni. Wakati mwengine mpaka inakera jinsi vijana wetu wanavyokosa kujitambua hasa katika kujituma.

    ReplyDelete
  2. Jina la makusu hapo linatafuta nini na wakati tulisikia kauzwa?

    ReplyDelete
  3. Hapa kuna sofa ila inabidi Simba tujitathmini. Wachezaji wetu wamekwenda timu kubwa je sisi tumechukua wachezaji gani toka timu kubwa?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic