Huyu chizi anachonga sana wakati bila Simba wao mwaka huu walikuwa wanasubiri VPL tu. Kweli tenda wema uende zako.. Yanga hamna shukrani... Subirini Zesco sasa...
Shukrani hipi wakati Simba ilikuwa inashindana kushinda ili kupata kombe na siyo kuongeza idadi ya timu TZ. Hile theory ya kila mtu ashinde kwao imekuwaje?
Huyu chizi anachonga sana wakati bila Simba wao mwaka huu walikuwa wanasubiri VPL tu. Kweli tenda wema uende zako.. Yanga hamna shukrani... Subirini Zesco sasa...
ReplyDeleteShukrani hipi wakati Simba ilikuwa inashindana kushinda ili kupata kombe na siyo kuongeza idadi ya timu TZ. Hile theory ya kila mtu ashinde kwao imekuwaje?
ReplyDeleteKweli nimeamini ni bola kuibeba timu yeyote ile kuliko yanga yaani hawana shukurani kabisa hata chembe
DeleteKwani Simba aliibeba Yanga lini
DeleteTunaanza kuzihesabu cc hapa yanga kwa mwaka huu tushaanza kuchangia point
Delete