KIKOSI KAMILI CHA KMC MSIMU WA 2019/20 KIKOSI cha timu ya Manispaa ya Kinondoni 'KMC' kilicho chini ya Kocha Mkuu, Jackson Mayanja msimu wa mwaka 2019/20 hiki hapa
Hongereni KMC kwa kikosi kizuri!
ReplyDeleteKikosi bora sana. Kazi kwa Mwalimu kufanya yake.
ReplyDeleteKuna uwezekano Mkubwa wa timu za Dsm kuendelea kutamba msimu ujao.
Delete