August 5, 2019


MSANII nguli duniani wa miondoko ya R N B, R. Kelly anayekabiliwa na mshitaka 13 ya unyanyasaji wa kingono huenda akafungwa miaka 195 endapo atapatikana na hatia.


R . Kelly anatarajia kupandishwa kizimbani tena Septemba 14, baada ya siku jana kusomewa mashitaka hayo 13 yakiwemo kunyanyasa, kudhalilisha, na kushambulia wanawake kingono pamoja na kuwarekodi watoto wadogo picha zisizokuwa na maadili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic