KWA ULAINIIII MASHINE ALAMBA MILIONI SITA ZA SPORTPESA Mkazi wa Tabora, Nelson Misungwi Mashine akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,835,260 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki iliyopita ya SportPesa. Kulia ni Meneja Uhusiano SportPesa, Sabrina Msuya.
0 COMMENTS:
Post a Comment