August 8, 2019


UONGOZI wa Simba umesema kuwa umewapoteza kwa mbali wapinzani wao kwenye mahesabu pamoja na mashabiki waliohudhuria kwenye mechi za kimataifa za kirafiki.

Yanga ilianza Jumapili kucheza na Kariobangs Sharks uwanja wa Taifa na ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 kabla ya Simba kumalizia Jumanne na Power Dynamo ambapo ilishinda mabao 3-1 uwanja wa Taifa.

Haji Manara , Ofisa Habari wa Simba amesema,: "Tunaposema Simba ni klabu ya watu muwe mnaelewa
 idadi ya watu 48,630 (Kwa Yanga), mapato milioni 283.

 
"Champion (mabingwa ambao ni Simba) idadi ya watu 58,001,mapato, milioni 376 na chenji kibao. Hapo ndio game yao ilikuwa na matangazo mwezi mzima hadi maandamano na mabango mitaani.


"Simba tumetumia only three days (siku tatu) za promotions na game yetu ilikuwa working day (siku ya kazi) Jumanne ," amesema.

11 COMMENTS:

  1. Na tazama jinsi umati ulivopendeza Kwa rangi nyekundu na unangara wala Hamna giza

    ReplyDelete
  2. Kwa sasa kioo cha soka ni simba sc acha watu wajae kuwatazama na kujua kipi wanakifanya kwa sasa hakika habari za simba sc zina mvuto.

    ReplyDelete
  3. mil 100 zaidi...unaweza sajili wachezaji wawili wa Yanga!
    yada yada 4G...mlandege wamemaliza wa 7 katika ligi yao...Ukitaka kuwa unabeba kilo 50 unaanza kwa kujaribu kilo 60...
    Yanga wanapenda kubeba kilo hamsini lakini wanajaribu kwa kubeba kilo 20!

    ReplyDelete
  4. mikia haishiwi maneno ikbanwa imebaki aibu tu ropoken lakn yanga watabak kuwa wa pekee kwa kla k2 na kaka yao anayetoaga rekod za uongo wkt cku ile ktk mshkemshke walshatangaza yanga wameingza wa2 elfu 60 na wengne wametolewa skrn nje mana uwanja uljaa katen mikia muache uongo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. itakuwa keli hata takwimu zinazoonyesha Simba kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Powwer ni uongo!mwenye akili ndogo huachwa hivyo hivyo

      Delete
  5. Hata takwimu za waliongia uwanjani kutoka Selcom Makwasukwasu watazikataa.Kweli kenge mpaka atoke damu ndio anajua kuumia .

    ReplyDelete
  6. Kucheza na pawer dainamo ndo nini? Kwani simba imepata faida gani?

    ReplyDelete
  7. Tutaona kesho, nani kapata faida na siku yake. Yanga kuweni real bwana, mtangoja sana!!!!
    Kwa sasa hatuhangaiki kivile na ninyi, tunawakaribisha tu uwanjani

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic