MCHEZO wa kimataifa kati ya timu ya Taifa ya Tanzania na Kenya umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu.
Mchezo huu ambao ni wa marudio ambao umechezwa nchini Kenya dakika zote tisini zimekamilika kwa ubao wa Tanzania kusoma 0 sawa na Kenya.
Mshindi atakayesonga mbele atapatikana kwa mikwaju ya penalti.
0 COMMENTS:
Post a Comment