WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uwekaji jiwe la msingi uwanja wa Bunju.
Hafla hiyo inatarajiwa kufanyika kuanzia majira ya saa 4 kwenye uwanja huo uliopo kwenye matengenezo.
Uwanja huo wa Simba ni maalumu kwa ajili ya mazoezi ya timu hiyo ambayo kesho inamenyana na Power Dynamo uwanja wa Taifa.
0 COMMENTS:
Post a Comment