August 8, 2019


WAPINZANI wa Yanga kimataifa kwenye mchezo wa awali unaotarajiwa kuchezwa Agosti 10 uwanja wa Taifa Township Rollers wanatarajia kutua Bongo leo.

Yanga itakuwa mwenyeji kwenye mchezo wa awali utakaochezwa uwanja wa Taifa.

Mchezo wa marudio unatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 23-25 ambapo Yanga itakwea pipa kuwafuata wapinzani wake kwa ajili ya mchezo wa marudio.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic