August 4, 2019


MASHABIKI wa Yanga wanazidi kujitokeza kwa wingi leo uwanja wa Taifa kwa ajili ya kushuhudia burudani maalumu.

Leo Yanga inahitimisha rasmi wiki ya Mwananchi ambapo watacheza mchezo wa kirafiki na timu ya Kariobangi Sharks kutoka Kenya.

Mbali na mchezo watawatambulisha wachezaji wao wote pamoja na jezi mpya ambazo zitatumika msimu ujao.

Mashabiki wanazidi kujitokeza uwanja wa Taifa na kuupendezesha kwa rangi za jezi walizovaa pamoja na nyimbo zao za kishujaa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic