KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa matatizo ya kikosi chake kwa sasa ni madogo na atayafanyia kazi.
Zahera amesema kuwa kwa sasa anakisuka kikosi imara ambacho kitaleta ushindani msimu ujao kama ambavyo aliahidi msimu uliopita.
"Ninapenda kuona wachezaji wakipambana kwa juhudi ila tatizo lao nimegundua linatokana na kushindwa kukaa kwa muda mrefu hasa kwenye mazoezi.
"Msimu ujao sasa nimepanga kusuka kikosi imara ambacho kitaleta ushindani mwanzo mwisho na mashabiki wenyewe watapenda," amesema.
Miongoni mwa wachezaji ambao wametambulishwa jana ni pamoja na Patrick Sibomana ambaye alifunga bao la kusawazisha kwenye mchezo dhidi ya Kariobangi Sharks, Juma Balinya, Mapinduzi Balama, Ally Ally, Mohamed Banka.
Yanga kelele nyingi ila wana timu ya kawaida mno kulinganisha na KMC au Azam na hao Simba siwezi kuwataja hapa kwani wao ni level nyengine.
ReplyDeleteManeno ya mlevi
Deleteheeheehee.....kaka ulijuaje kama huyo jamaa ni mlevi.......namfahamu,tena ulevi wenyewe wa gongo na chibuku.
DeleteAcha ujinga jana mpira umepigwa mkubwa, mwaka hamtaingiza timu uwanjani pumbavu nyie.
DeleteSawa Mzee tumekusikia nyie level nyingine,ile timu ya mo duh mtabaki kushangaa siku moja
ReplyDeleteTushangae nini?Mkimaliza wa 4 shukuruni.Kelele nyingi hamna kitu.Afadhali Makambo na Ajibu.Mtawakumbuka .Hamna forwadline hapo.
ReplyDeleteAjibu alifunga magoli mangapi!? Unatamani ingekuwa hivyo ila ukweli bado haiwezi kutokea!! Tukutane kwenye ligi
DeleteJana nmecheki mechi ila kiukweli yanga foward pale sjaona kushoto na kulia kulikuwa hamna cha maana sana.kocha wetu zahera afanyie kazi
ReplyDeleteKabisa wamechemka kunako fowadline wangemuacha tu Amis tambwe angewasaidia sana.
ReplyDeleteHahaha mnaweweseka, tambwe amewahi fanya nini inapokuja international game!? Mbona mikia mnateseka sana!? Hatutegemei ushauri kutoka kwenu, mgekuwa mnajua msingekuwa mnalia kama ng'ombe
DeleteYanga ya msimu uliopita ilikuwa vizuri ukilinganisha na hawa vilaza walionao saiz.
ReplyDeleteTatizo la mbumbu fc ni kupenda kujifariji!! Mlitaka wafanye nini!? Ile ni game ya kirafiki na hakukuwa na cha ziada!! Ile timu imekamilika na iko kwenye kiwango sahihi!! It's a matter of time kupata combination!! Katika kipindi chote alichokuwepo ajibu yanga haikuwahi kuwa bingwa, then akumbukwe kwa lipi!? Makambo muda ulifika na akaondoka, mbona nyie hamkumzuia kotei au Okwi!? Acheni maneno ya bar
ReplyDeletekaka usibishane na wajinga kama hao wasiojua mpira ambao wanataka kumpima mchezaji au timu kwa mechi moja tu ya kimataifa.kuna wajinga wengine wamekwenda mbali zaidi kwa kumpima hata Molinga kwa zile dakika tano tu za mwisho alizocheza........stupid sana.
DeleteUmeongea kama mwanaume kaka...big up broo..wengine wakishakunywa ndo wanajiona wanajua sana
DeleteNDO UZUR UKCHEZA NA TMU YENYE KIWANGO KZUR KARIOBANG NI MABINGWA WA SPORTPESA NA WAMEMFUNGA EVERTON JUZI TU YANGA WANAHTAJ PONGEZ MUACHE UNAFK MIKIA FC.
ReplyDeleteYule kibabu Sdney wakoboronga hawezi wasaidia kitu.Hata alipokuja majaribio simba hakuweza kufanya chochote cha maana golini.Nazani maskauti wa wachezaji wa Yanga ni walevi.
ReplyDeleteMARA ZOTE SIFA YA MTU ASIYEJIAMN NA LMBUKEN NI KUPENDA KUMZUNGUMZIA MWENZAKE ALYEFANKIWA WKT YEYE HATA KWAKE TU JEZI HAZNUNULK MPK AIBU YANGA HONGEREN MMEKUJA KITOFAUTI KABSA ENDELEEN KUITANGAZA YANGA.
ReplyDeleteTanzania kuna mashabiki maandazi wengi sana kama wameona ile yanga hamna lolote basi hakuna haja ya kuangalia mpira
ReplyDeleteKwa hiyo simba ndyo INA maskauti wazuri wanaoshauri kumnunua ajibu na kumuuza Kotei? Au kumnunua yule beki wa singida na kumuacha Juuko? Acheni wivu ipeni yanga mechi tatu tu mtaona balaa lake. Sisi kocha tunae
ReplyDelete