August 5, 2019

UONGOZI wa Simba umesema kuwa kuelekea kwenye SportPesa Simba Wiki wamejipanga kufanya makubwa msimu ujao na wataanza kufanya hivyo kesho kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo.

Simba kesho itacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki kwenye kilele cha SportPesa Simba wiki utakaochezwa uwanja wa Taifa.

Patrick Ausssems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kirafiki kutokana na maandalizi ambayo wameyafanya.

"Tumefanya maandalizi mazuri nchini Afrika Kusini na tupo sawa kwa ajili ya ushindani wa kimataifa na kitaifa hivyo tuna amini tutafanya vizuri kwani muda upo na uwezo tunao," amesema.

10 COMMENTS:

  1. kiukweli simba tunakosea simba day hatujpm na tmu zenye uwezo mkubwa kama walvofanya yanga lengo tushnde tu, wkt hata kama ukfungwa kama unacheza na tmu kubwa unakuwa unajua tatzo lako kariobang wazur mabngwa sportpesa mpk juz wamempga everton kwa matuta 4 kwa 2 na hata hvo kabla waliwaomba as vita lakn vta wakaghail kuja sababu ya ratba ya caf SIMBA TUBADLKE NA CC TUITE TMU KUBWA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo Yanga ambaye kavaa ngozi Simba....Snitches utawajuwa tu kiaongezi, Sasa wewe Simba na yanga nani kajipima na team za akili wewe ukiwa kama yanga ni lini ushawahi sema Simba kajipima na team ya ukweli.!?Ingekuwa Simba anajipima na team mbovu asingebeba ndoo ya league wala kuweza fika champions league robo..Acha uwoga jombaa tangaza team yako usijisingizie Simba...Alafu mpira hujuwi na ndo maana ukasema Power Dynamo team ndogo...!Ila wewe kama siyo team yanga basi utakuwa mtoto wa Kilimoni...Kilomoni wahedi wewe.

      Delete
  2. Simba haichezi na timu ambayo katika msimamo wa ligi yao iko chini ya nafasi ya tono!Timu iliyokuja cheza na Yanga ilimaliza ya 7 msimu wa 2018/2019...kuifunga Everton kwa penaly? Hazina mwenyewe!Mwaka jana Simba walicheza na Asante Kotoko...ni timu kubwa ya kihistoria Ghana, Mwaka zuji ilikuwa dhidi ya mabingwa Rwanda.Na hao Power dynamo ndiyo mabingwa Zambia

    ReplyDelete
  3. WALE NI MABNGWA MARA 6 MWAKA 1984 1991 1994 1997 2000 2011 ACHA UONGO NA HCTORIA ZAKO MBOVU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. 2017/2018 Kotoko ilimaliza ya 5 huko kwao..Kariobangi Shark imemaliza ya ngapi! Kuchukua ubingwa mara 6 ni historia? Au historia mi kuchukua zaidi ya mara 20? Heri jana Yanga wangecheza na Moro kids kwani wangeshindwa!Isingekuwa penalty ya kubebwa wangeaibika katika siku yao

      Delete
    2. Kariobangi Shark (2000) haijawahi chukua ubingwa wa ligi kuu! Power dynamo (1985) imeishachukua mara 6, Asante Kotoko (1935) mara 24 na Rayon Sport mara 9! Ukweli ni kwamba katika Simba day wanakuja kucheza mambingwa! Sio hivyo jana...Huo ndio ukweli !

      Delete
  4. Ukweli ni kwamba Yanga imecheza na timu iliyomaliza ligi ya kenya katika nafasi ya coastal unioni. Na Simba haijawahi cheza mechi na timu katika Simba day , ambapo timu hiyo imemaliza ikiwa chini ya timu tano bora! Bora Yanga ingecheza hata na Mbeya City ilimaliza ya saba!

    ReplyDelete
  5. Sasa wewe unaona Power Dynamo ni timu nzuri kwa sasa?? au unakariri jina. kwa taarifa yako power dynamo ni moja ya timu vibonde kaangalie ata msimamo wao wa ligi kwanza yuko kundi B ambalo kimsing hua linajumuisha tim zenye uwezo mdogo na kati ya hizo hii timu inashika nafasi ya 6 kati ya 10 so sio timu bora sana. ingekua zesco, zanaco au Red Arrow ningesema yes imekaa vizuri.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic