September 27, 2019


LIONEL Messi, mshambuliaji wa Barcelona aliiweka roho yake juu kutokana na kutolewa kwenye mechi dhidi ya Villarreal.

Messi alitolewa kwenye mapumziko ya mchezo huo baada ya kuskia maumivu kwenye paja la mguu wake wa kushoto.

Staa huyo alitoa assisti ya bao kwenye mchezo huo ambao Barcelona iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 Uwanja wa Camp Nou.

Barcelona ilieleza kuwa nyota huyo alitolewa kwenye mchezo huo baada ya kuumia na wameficha kutaja lini atareja uwanjani.


Barcelona ambao ni mabingwa watetezi wa La Liga wana pointi 10 kwenye michezo sita waliyocheza wameshinda mitatu na kupoteza miwili na wana sare moja

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic