kwa kuwa ww ni MUngu, ndio maana wanadamu hatuna kuridhika kwa kuwa sababu mojawapo tunawaza kufeli kwa wengne siku zote, ww utafaidika na nn iwapo yanga watafeli kimataifa, acha roho isiyokujenga, isitoshe ww si mzambia. sasa nikuhakikishie Yanga anaingia makundi hata kwa damu
na rolers mikia ilipga kelele hvhv hatmaye yanga ikafuzu na juz mukavaa mpk jez za zesco sasa na zambia muje muwape sapot zesco yanga hawaogop washabk wanatwanga popote sio kama mikia f.c.
Unapobisha unatakiwa kuwa na sababu za msingi za utetezi wa kile unachobishia. Ukituuliza sisi ambao tunaamini Yanga kapoteza, tunaweza tukakupa sababu nyiiiingi tu, na hizo wala sio za kishabiki kama wewe hapo juu unaetetea uozo. Unatetea kiwango cha asilimia 62 kwa wageni kwa 38 za wenyeji!!!. Unatetea forward ambayo haina makali!!! Kule mnaenda kukaribishwa kwa 4 nyepesi tu.
Azam walicheza jana na Triangle ya Zimbabwe na kufungwa pamoja na kuwa na 70% za possession... Hivyo do not be misled na % za ball possession. Tunaenda kutusua Zambia na kuwafunga midomo mikia FC
unapotoa rekodi za asilimia uwe na data halisi. mfano mdogo ni pale Azam jana, mbali na mpirra mwingi lkn wakafungwa nyumbani. ssc mlikuwa mnampa credit kubwa azam na kumpondea na kumwombea mabaya yanga lkn Mungu mkuu yanga anashinda hadi dakika ya 95 jamaa wanasawazisha na kuleta ugumu wa mechi ya marudiano, sasa ujifunze kuwa, jambo akipanga Mungu Hata ufanye nn hulipingi./ nani aliamini kama simba wangetolea na UD SONGO? sasa kama huamini hili amini yanga anapata matokeo chanya kule zambia
Wiki sio nzuri kwa wawakilishi wa Tanzania michuano ya CAF katika ngazi ya klabu (Azam, Malindi & Yanga)...
ReplyDeleteWiki sio nzuri kivipi? Kwan umeona Yanga kafungwa hapo?
ReplyDeleteNi sawa na kufungwa. Läs kiwango kile hawawezi kumfunga Zesco nyumbani.
ReplyDeletekwa kuwa ww ni MUngu, ndio maana wanadamu hatuna kuridhika kwa kuwa sababu mojawapo tunawaza kufeli kwa wengne siku zote, ww utafaidika na nn iwapo yanga watafeli kimataifa, acha roho isiyokujenga, isitoshe ww si mzambia.
Deletesasa nikuhakikishie Yanga anaingia makundi hata kwa damu
Kwa kiwango walichoonyesha ni sawa na kufungwa.Matumaini ni chini ya asilimia 5.
ReplyDeletena rolers mikia ilipga kelele hvhv hatmaye yanga ikafuzu na juz mukavaa mpk jez za zesco sasa na zambia muje muwape sapot zesco yanga hawaogop washabk wanatwanga popote sio kama mikia f.c.
ReplyDeleteUnapobisha unatakiwa kuwa na sababu za msingi za utetezi wa kile unachobishia. Ukituuliza sisi ambao tunaamini Yanga kapoteza, tunaweza tukakupa sababu nyiiiingi tu, na hizo wala sio za kishabiki kama wewe hapo juu unaetetea uozo. Unatetea kiwango cha asilimia 62 kwa wageni kwa 38 za wenyeji!!!. Unatetea forward ambayo haina makali!!! Kule mnaenda kukaribishwa kwa 4 nyepesi tu.
ReplyDeleteAsilimia za possession sio ushindi, ingekuwa hivyo Azam waliomiliki kwa 70% wangekuwa wameshinda
DeleteAzam walicheza jana na Triangle ya Zimbabwe na kufungwa pamoja na kuwa na 70% za possession...
DeleteHivyo do not be misled na % za ball possession. Tunaenda kutusua Zambia na kuwafunga midomo mikia FC
unapotoa rekodi za asilimia uwe na data halisi. mfano mdogo ni pale Azam jana, mbali na mpirra mwingi lkn wakafungwa nyumbani. ssc mlikuwa mnampa credit kubwa azam na kumpondea na kumwombea mabaya yanga lkn Mungu mkuu yanga anashinda hadi dakika ya 95 jamaa wanasawazisha na kuleta ugumu wa mechi ya marudiano, sasa ujifunze kuwa, jambo akipanga Mungu Hata ufanye nn hulipingi./
Deletenani aliamini kama simba wangetolea na UD SONGO? sasa kama huamini hili amini yanga anapata matokeo chanya kule zambia
Manara sikulaumu kusema la sivyo usiposema njaa itakukaribia
ReplyDelete