September 30, 2019


Mashabiki wa Nkana Red Devils wamechukizwa na kipigo cha bao 1-0 walichokipata jana dhidi ya Forest Rangers katika Ligi Kuu Zambia.

Mashabiki hao walianza kuwashambulia wachezaji wao akiwemo Mtanzania, Hassan Kessy.

Mashabiki hao walikuwa wakitumia chupa na wengine walirusha mawe kwa kutumia manati.

Katika msimamo wa Ligi Kuu nchini humo, Nkana ipo nafasi ya nane (8) ikiwa imecheza jumla ya mechi nne (4) na ikiwa na alama sita.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic