September 29, 2019

6 COMMENTS:

  1. Hajampiga stop kampa ushauri.Wacheni kulisha watu maneno. Vyura hawajui uzalendo na hawana ustaarabu.

    ReplyDelete
  2. HM ana vijitabia vya kiswahili na mwisho wa siku hukimbilia kujihami anapoguswa guswa!!! Ila tunahitaji watu wa aina yake ili kuchangamsha media maana bongo mpira unachezwa mdomoni na kwenye media

    ReplyDelete
  3. Wewe una tabia za kizungu?Haji anaendeleza utani kama hupendi tabu yako..

    ReplyDelete
  4. Wewe teseka tu ila mpira tuliona uko POA pia tumejifunga.kwa ujumla tumejitoa wenyewe dar tumewafungia ndola tukawafungia .pili sisi hatujafungwa ugenini goli 17 rekodi hip mnayo ninyi tu mikia

    ReplyDelete
  5. Bahati haikua yanga ila timu iko POA sana

    ReplyDelete
  6. Rekodi hiyo ndio imewafanya mshiriki kwa viti maalum. Tumewafungia?? Kelele za chura .Mmezoea mpaka mtengenezewe nafasi tena na mume wenu. Hamna uwezo wa kushiriki wenyewe. Visingizio vya kuzimia taa!!Makame alijifumga kwa sababu ya giza?Unajihami timu nzima ndio matokeo yake .Rudini Mbeya City wanawasubiri.Ruvu Shooting walishavunja bikira.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic