MO DEWJI ATEMBELEA UWANJA WA SIMBA BUNJU Mwekezaji Mkuu wa Simba, Mohammed Dewji 'Mo' atembelea Bunju kwa ajili ya kushuhudia ujenzi wa uwanja wa klabu hiyo namna unavyoendelea.
0 COMMENTS:
Post a Comment