LEO moto wa Ligi Kuu Bara unaendelea ambapo timu sita zaitashuka kwenye viwanja vitatu tofauti kusaka pointi tatu muhimu. ratiba yao ipo namna hii:- Singida United v Alliance, uwanja wa Namfua. Mwadui FC v Mbao FC. Ruvu Shooting v Polisi Tanzania, Isahmuhyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment