September 29, 2019

3 COMMENTS:

  1. Simba itabakia kuwa Simba katika nchi hii hasa katika mechi za kimataifa. Yanga kujijitumua kote kule kaishia raundi ya pili hata hatua ya makundi wameshindwa kuingia.

    ReplyDelete
  2. Yanga ya mwaka huu ni taabani sana na huenda ikashuka daraja katika VPL.Na karibu wataanza kufukuzana

    ReplyDelete
  3. Kandambili hao kiasi wanabebwa habebeki kiroba cha misumari hicho wanatutia aibu tu maneno mengi mara tunapinduwa meza hata stuli wameshindwa kupinduwa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic