HIZI hapa mechi tano kali za timu ya Mtibwa Sugar ndani ya Ligi Kuu Bara
Simba v Mtibwa, hii inachezwa leo Septemba 13 Uwanja wa Uhuru.
JKT Tanzania v Mtibwa Sugar, Septemba 21 uwanja wa Isamuhyo.
Mtibwa Sugar v Prisons, Septemba 25 uwanja wa Jamhuri
Mtibwa Sugar v Mbeya City, Septemba 29 uwanja wa Jamhuri
Ndanda v Mtibwa Sugar, Octoba 19 uwanja wa Nangwanda Sijaona.
0 COMMENTS:
Post a Comment