MWAFRIKA WA KWANZA AWEKA REKODI YA KUCHUKUA TUZO UPANDE WA HIPHOP
Rapa kutoka nchini Ghana Sarkodie amefanikiwa kushinda tuzo za BET HIPHOP 2019 kama “Best International Flow”.
Rapa huyo ameweka historia ya kuwa rapa wa kwanza kuchukua tuzo ya BET HipHop akiwa ndio mara ya kwanza kushiriki kwenye tuzo hizo akiwania anachuna na marapa kutoka marekani kwenye kipengere cha “Best International Flow”.
Kwenye kipengere iko kulikuwa na Rapa wa Nigeria; Falz the Bad Guy, Ghetts Kutoka Uingereza , Kalash wa Ufaransa, rapper wa kike; Little Simz wa UK, Rapper wa Afrika Kusini ; Nasty C pamoja na Tory Lanez kutoka Canada
0 COMMENTS:
Post a Comment