NSWAZURWIMO ACHUKUA MIKOBA YA MINZIRO SINGIDA UNITED
Klabu ya Singida United imemtangaza Ramadhan Nsanzurwimo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.
Kocha ametangazwa leo jijini Dar es Salaam akichukua nafasi ya Fred Felix Minziro aliyeachwa baada ya sintofahamu baina ya pande mbili.
Nsanzurwimo raia wa Burundi alikuwa akiinoa Mbeya City msimu uliopita
0 COMMENTS:
Post a Comment