BAADA ya kumaliza salama mchezo wa jana wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Bandari uwanja wa Taifa Simba leo imekwea pipa kuelekea Kigoma.
Simba jana ilishinda mbele ya Bandari bao 1-0 hivyo inakwea pipa ikiwa inajiamini kwa ushindi mwembamba walioupata jana.
Kigoma watacheza michezo miwili dhidi ya Mashujaa FC na Black Eagles uwanja wa Lake Tanganyika.
Wewe salehe unataka ushindi gani mara ushindi mwembamba wako ushindi mnene ule na polisi wa 3.3 ama upi ule wa kufungwa 1 inakuuma subiri wenu mmewapeleka warabu eti mwanza hata mkawepeleka kaunda mtatolewa tu kandambili nyinyi
ReplyDeletePOVU LA NINI?
ReplyDelete