TANZIA: ALIYEKUWA MKURUGENZI USALAMA WA TAIFA AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Cornell Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia mchana wa leo, Jumatatu, Oktoba 7, 2019 mjini Pretoria, Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.
Familia imethibitisha na kusema itatoa taarifa zaidi baadaye.
0 COMMENTS:
Post a Comment