WAZIRI KIGWANGALLA AAHIDI KUMUOKOA IDRIS SULTAN BAADA YA KUITWA POLISI NA MAKONDA Alichokiandika waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Hamis Kigwangalla kuhusiana na kuitwa polisi kwa msanii mchekeshaji, Idris Sultan.
Mbona kichwa cha habari na alichokiandika Kigwangala haviendani kabisa.Kwa mtazamo wangu naona kama Kigwa amepigilia msumari kwenye utosi wa Idris na wala sio kumuokoa.
ReplyDelete