KIKOSI cha Azam FC juzi
kililazimisha sare ya kwanza kikiwa chini ya kocha Mpya, Arstica Cioaba raia wa Romania amevunja rekodi ya muda wa nyongeza iliyokuwa inashikiliwa na Simba msimu uliopita kwa
kuongezewa dakika 7 pamoja na JKT Tanzania.
Simba ilipocheza na JKT
Tanzania, mwamuzi aliamua ziongezwe dakika 7 ambazo zilikuwa ni nyingi kwa msimu uliopita.
Juzi wakati Azam FC
inalazimisha sare ya bila kufungana na Kagera Sugar timu zote ziliongezewa dakika 9 na
hakuna timu ambayo iliona lango la mpinzani wake.
Matokeo hayo yameifanya
Azam FC ifikishe pointi 10 ikiwa imecheza mechi sita nafasi ya 13 huku Kagera
Sugar ikifikisha jumla ya pointi 17 nafasi ya pili.
Wacheni unafiki.Tuweekeni dakika zilizoongezwa Yanga na Lipuli uwanja wa Samora. .
ReplyDeleteHawa waandishi wetu ni pumba sana
ReplyDelete