November 30, 2019

16 COMMENTS:

  1. Mzee Kilomoni na Julio tunasubiri matamko yenu maana yale mliyoongea kipindi fulani cha nyuma yameanza kujiri

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mzee Kilomoni au Julio ndo nani? Katika Simba na waliongea kitu gani ambacho we unasema kimetokea au unaota ?

      Delete
  2. Ila kwanini makalio hayawaachi kuwaasha juu ya kocha wa Simba? Kila kukicha fake news stop it please.

    ReplyDelete
  3. Kocha ameondoka kitu cha kaxi siku 3 bila maelezo wala ruhusa amepewa nafasi ya kujieleza amekataa kutoa ushirikiano au kueleza alipokwenda .Mkataba ulikuwa wazi kwamba kuna malengo ya kufikia ameshindwa kufikia. Nidhamu imepinga kwa wachezaji kulinganisha na msimu uliopita.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu mliemsifu kwa kila kitu ndiye leo mnamsema kiburi, sijui waafrika tupo vipi

      Delete
  4. Haya mchukueni zaher ili tarehe 4 January mke mpaki basi taifa, mbele mumuweke kagere pekee. Tunawasubiri kwa hamu tuwapige bila condom. Mkicheza formation ya ten zero zero 10-0-0. Vijana wa mkwasa watacheza zero zero ten 0-0-10. Yaan ni mwendo wakusaka nyoka tu.

    ReplyDelete
  5. Yanga kumfunga Simba?labda kwenye ndoto tuu,watapigwa 2 tuu na Simba.

    ReplyDelete
  6. Mimi ni Yanga lakini hatuna timu ya kuifunga Simba.Lazima tufanye usajili wa maana .Tukiingia kichwa kichwa tutaaibika.Tuache mpira wa midomoni.

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  8. Yanga hawatofautiani na demu wa kitaa. Habari ya Simba ikiwafikia hats kama hawana uhakika,badala ya kuuliza wanaikuza.

    ReplyDelete
  9. Zahera alifukuzwa kwa kushindwa majukumu ninaamini. Aussems ameikosea Simba,amepewa nafasi hajataka kuitumia. Amepewa anachostahili. Kama ni uongo fuatilia maneno ya hawa makocha kila mmoja baada ya kusitishiwa mkataba. Zahera alipitapita kwenye media, Aussems sidhani. Tusubiri

    ReplyDelete
  10. Simba wamekosea sana na wasitarajie kwa sasa kupata matokeo mazuni kwani wameshawavuruga hata wachezaji kisaikolojia, tusubiri Waine kocha huyo anakuja yanga na kuipamafanikio makubwa wapinzani wao

    ReplyDelete
  11. Kapeleka email Dio kuomba ruhusa lakini kuwajuulisha Tu kuwa anasafiri na ingelia hiliwa Hali hiyo kuendelea basi hata wachezaji nao wangelifanya kuliko hayo madhali mwalimu ajiamulia atakavyo hapanna mchezaji yeyote ataemheshimu au kumuogopa. Like father like son

    ReplyDelete
  12. Yanga hawana uwezo wa kuajiri kocha wa kigeni. Hata Mkwasa anafanya kazi bure pale Yanga kwa sababu hawana uwezo wa kumlipa kocha. Hata pesa za kumlipa Dante maskini hawana anahangaika tu na wanaua kipaji chake mchana kweupe kama nchi hii haina viongozwi wa mpira namshauri Dante aende FIFA ubaya ubaya tu mwaga mboga namwaga ugali.

    ReplyDelete
  13. Simba wamechemsha kumfukuza Kocha watajuta

    ReplyDelete
  14. Ikiwa Simba itajuta kumfukuza kocha na ikiwa mnatambuwa kuwa alikuwa kocha mzuri basi hii ni fursa kubwa kwenu ikiwa mnayo hela ya kumlipa mumchukuwe nyinyi mbadala wa Zahera

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic