EXCLUSIVE: KOCHA SIMBA AFUNGUKA KUONDOKA BAADA YA MECHI NA RUVU - VIDEO Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amefunguka kuhusiana na kuondoka ndani ya timu hiyo mara baada ya ushindi wa jana dhidi ya Ruvu Shooting.
hakika hata nyinyi mnatupotosha!
ReplyDeletekocha hapa amesema:
"niko kwa ajili ya majukumu yangu Simba, lakini (kama) uongozi utaamua kuvunja mkataba wangu basi mimi sina tatizo."