November 23, 2019


LLEO uwanja wa Uhuru Simba itakuwa na kibarua cha kumenyana na Riuvu Shooting kwenye mchezo wao wa 10 wa Ligi Kuu Bara.

Patrick Aussems Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa yupo tayari kwa ushindani na anawaheshimu wapinzani wake ila atawakosa nyota wake watatu kutokana na sababu mbalimbali.

Nyota hao ni Erasto Nyoni na Sharaf Shiboub ambao wanasumbuliwa na majeruhi waliyoyapata kwenye timu zao za taifa huku Chama alichelewa kujiunga na timu akitokea kwenye timu ya taifa ya Zambia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic