November 29, 2019


FT: Alliance 1-2 Yanga
Uwanja wa CCM Kirumba

Sibomana anatoka nje anaingia Rafael daud anaonyeshwa kadi ya njano kwa kosa la kuingia uwanjani kabla ya Sibomana hajatoka
Zinaongezwa dakika 3
Dakika ya 90 Falcao anafanya jaribio akiwa nje ya 18 linapaa angani
Dakika ya 88 Abdul anarusha kwenda kwa Alliance
Dakika ya 86 Sadney anatengeneza pasi nzuri Molinga anapishana nao angani
Dakika ya 85 Alliance wanaotea
Dakika ya 83 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Alliance
Dakika ya 82 Yanga wanaotea
Dakika ya 81 Samir Vincent anatoa mpira nje
Dakika ya 80 Alliance wanarusha kuelekea Yanga
Dakika ya 79 Mtoni anapeleka mashambulizi Alliance
Dakika ya 77 Molinga anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 76 Ngassa anaingia anatoka Jafary kwa Yanga
Dakika ya 73 Shikalo anaokoa hatari 
Dakika ya 71 Molinga anapachika Gooooo akimalizia asisiti ya Kaseke
Dakika ya 70 Miraj anatoa nje mpira unarushwa na Juma Abdul
Dakika ya 68 Tshishimbi anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 66 Kaseke anapeleka shambulizi ndani inatoka nje
Dakika ya 65 Molinga anaotea
Dakika ya 63 Michael Chined anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 61 Falcao, Sibomana, Papy, Mohamed ndani ya 18 anapaisha
Dakika ya 59 Chinedu anatoka anaingia Vincent
Dakika ya 58 Yanga inapata faulo inapigwa na Juma Abdul, Kaseke anatoa nje
Dakika ya 55 Juma Nyangi Goooooo anafunga bao la kwanza kwa Alliance
Dakika ya 53 Yondan anamrudishia Shikalo
Dakika ya 52 Juma Abdul anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 51 Juma Abdul, Kaseke anapokwa mpira na nyota wa Alliance
50 Shikalo anaanzisha mashambulizi kwa Alliance
49 Juma Abdul anarusha,Sibomana, anapokwa mpira na Siraj
Kipindi cha pili kimeanza
HT
Zinaongezwa dakika 2Dakika ya 45 Alliance wanapata faulo haizai matunda
Dakika ya 44 Juma Abdul anapiga kona ambayo inapasihwa na Sibomana
Dakika ya 43 Yanga wanapata kona
Dakika ya 42 Alliance wanaotea
Dakika ya 41 Shikalo anaanzisha kwakwe Lamine, Jaffary mpira unakuwa ni wa kurushwa kwenda Yanga
Dakika ya 40 Juma Abdul anampa Yomdani, Balinya, Sibomana mpira unatoka nje.

Dakika ya 39 Sodoki anakosa kufunga bao ndani ya 18
PATRICK Sibomana anaifungia Yanga dakika ya 25 na kuifanya Yanga kuwa mbele kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu unaochezwa uwanja wa CCM Kirumba dhidi ya Alliance.

Ushindani ni mkubwa kwa timu zote mbili huku kila timu zikishambulia kwa zamu.

2 COMMENTS:

  1. Mabingwa Wa Jadi: 2 Waliochapwa na Azam: 5

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe mkia hujui moira, unajiropokea tu. Mpira hauko hivyo, nyinyi mikia sio watu wampira mnajitiatia tu kuushabikia moira bora mumshabikie mwakinyo maana moira hamuujui. Ndio maana manara wenu kwa aibubameshindwa kuja yanga kutimiza ahadi yake baada ya Liverpool kumtoa baselona. Mpira hauna formula maalumu kama paid 3.14 au acceleration due to gravity g= 10m/s square au 1 Faraday = 96500 coloumb au Avogadro's constant= 6.022 X 10exp 23. Mpira hauko hivyo chaliii, eti kwa sababu azam kampiga tano basi nayanga amfunge tano. Mbona Manchester mbovu imemfunga Chelsea 4 lakini Liverpool na man city zilizo ktk kiwango bora zimeshinda 2 kwa mmoja tena kwa tabu? Mpira hauko hivyo mkia.hivi ysnga ikija mfunga prison iliyokutoa mavi utasemaje? Kama sio mtu wa mpira kama manara bora ukae kimya unatuchefua.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic