December 14, 2019


Imeripotiwa kuwa beki wa kimataifa wa Tanzania, Jamal Mwambeleko amejiunga na klabu ya Bidvest Wits.

Mwambeleko amejiunga na timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini akitokea KCB FC ya nchini Kenya.

Beki huyo ambaye awali aliwahi kuichezea Simba, amefikia makubaliano na mabosi wa Wits baada ya kumaliza mkataba na KCB.

Mwambeleko anaungana na Abdi Banda ambaye kwa sasa anakipiga kunako Highlands Park ambayo pia inashiriki Ligi Kuu nchini humo.

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic