December 14, 2019


Mchezaji mkongwe wa klabu ya Yanga, Mrisho Ngassa, jana amezua hofu kubwa mitandaoni kufuatia kauli yake aliyoiandika kunako mtandao wake wa Instagram.

Ngassa aliandika maelezo ambayo yaliwachanganya wengi na kuwafanya kutafakari juu ya kauli yake ambapo wengi walionekana kuamini kuwa anaondoka na wengine wakiwa hawaielewi.

Hiki ndicho alichokiandika Ngassa kunako ukurasa wao wa Instagram.



6 COMMENTS:

  1. sasa huyu nae ata akiondoka! swali,anaenda wapi na umri huo ...au ndio msafara wa mamba.....?

    ReplyDelete
  2. Mzimu wa Zahera unaanza kupagawisha watu

    ReplyDelete
  3. Duuu ni hatari mwaka huu unakuwa na historia balaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic