December 29, 2019


TAMMY Abraham, mshambuliaji wa Chelsea amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Arsenal kwenye mchezo wao wa leo uliochezwa Uwanja wa Emirates.

Chelsea ilipindua meza kibabe baada ya Arsenal kutangulia kupachika bao la kuongoza dakika ya 13 kupitia kwa nahodha wao, Pierre Aubameyang.

Chelsea ilianza kupachika bao la kwanza dakika ya 83 kupitia kwa Jorginho kabla ya Abraham kupachika msumari wa mwisho dakika ya 87.

Chelsea inafikisha jumla ya pointi 35 huku Arsenal ikiwa nafasi ya 12 na pointi 24 zote zimecheza mechi 20.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic