December 29, 2019


OBREY Chiwa amefunga bao la ushindi kwa timu yake ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa uwanja wa Ushirika Moshi dakika ya 9 akimalizia pasi ya   Bruce Kangwa.

Mchezo wa leo ulikuwa na ushindani na kila mmoja alipambana kupata pointi tatu mwisho wa dakika 90 Azam ikabeba pointi zote tatu.


Hassan Isabilo wa Polisi Tanzania akika ya 62 alionyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu mlinda mlango wa Azam FC, Razack Abarola.

Agrey Moris, nahodha wa Azam FC anaonyeshwa kadi ya njano dakika ya 74 baada ya kumchezea rafu mchezaji wa Polisi Tanzania.

Baraka Majongoro wa Polisi Tanzania anaonyeshwa kadi ya njano dakika ya 70 kwa kumchezea rafu mchezaji wa Azam FC.

Lusajo Mwaikenda anaingia kwa Azam FC anatoka Mudhathir Yahaya.

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic