EXCLUSIVE: SIMBA YAVUNJA MKATABA NA MSAIDIZI WAKE Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza kuachana na Denis Kitambi aliyekuwa Kocha Msaizidi wa timu hiyo.
unaweza ukawa uamuzi sahihi au sio sahihi sana.Angepewa jukumu jingine badala ya kumuondoa kabisa, wakati huu Simba inajijenga kama taasisi angepewa timu za vijana kuzisimamia bado sioni kama Mgosi kaivaa kwa hili la youth sport development
ReplyDeleteMatola atakuwa pia kocha mkuu wa timu ya vijana kwa mujibu wa mkataba wake.
ReplyDelete