December 1, 2019


Ah! Hii picha inazungumza ukubwa wa hii klabu, inazungumza fahari yetu wanasimba na watanzania.

Ehhh mnaniulliza kuhusu naniliu kusepa? ndio.

Hizo Ndio falsafa za klabu zote kubwa zenye kiu ya mafanikio.

Always nawaambia hakuna atakaedumu milele Simba, iwe kwa kuondoka mwenyew, kufukuzwa au kufa, sote tutaondoka siku yetu ikifika Simba.

Kila la kheri Simba na kila la kheri katika maisha mapya Kocha Patrick Aussems.

Na Haji Manara

1 COMMENTS:

  1. yale masifa yoote mliojazia yako wapi leo mnamtimua kwa kosa moja. kwan adhabu za wachezaji kinidhamu ni juu ya kocha au viongozi? kazi yake kufundisha na sio kuweka nidhamu,
    nanyi watani mmeyumba kama zahera alivyoyumba

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic