Mchezaji mkongwe wa klabu ya Yanga, Mrisho Ngassa, jana amezua hofu kubwa mitandaoni kufuatia kauli yake aliyoiandika kunako mtandao wake wa Instagram.
Ngassa aliandika maelezo ambayo yaliwachanganya wengi na kuwafanya kutafakari juu ya kauli yake ambapo wengi walionekana kuamini kuwa anaondoka na wengine wakiwa hawaielewi.
Hiki ndicho alichokiandika Ngassa kunako ukurasa wao wa Instagram.
sasa huyu nae ata akiondoka! swali,anaenda wapi na umri huo ...au ndio msafara wa mamba.....?
ReplyDeleteItakua kaanza shughuli zake za uvuvi
DeleteMzimu wa Zahera unaanza kupagawisha watu
ReplyDeleteDuuu ni hatari mwaka huu unakuwa na historia balaa
ReplyDeleteAmtie hofu nani mwenye huyu!
ReplyDelete🐒🐒🐒🐒🐵
ReplyDelete