Ingawa Arusha Fc ni timu ndogo au ya daraja la chini ila kwa siku nyingi tu sijawahi kuiona Simba ikicheza kwa nidhamu ya hali juu kama mechi hii ya juzi kwani takribani nafasi zote walizozitengeneza za kufunga basi waluzitumia ipasavyo ni kigeni sana kwa Simba iliokuwa ya Ausems kufanya kitu kama kile pengine isingewezekana.

ReplyDelete