December 26, 2019

2 COMMENTS:

  1. Endelee kufanya kufuru na huku Simba mwenda kimya akila nyama

    ReplyDelete
  2. Ushauri
    Tafadhali unaposoma ujumbe uupeleke aidha kwa njia ya simu/email/mdomo kuhusu mchezo uliopangwa kufanyika uwanja wa sokoine Mbeya Ijumaa tarehe 27 mwezi wa 12, uhamishwe upelekwe iringa katika uwanja wa samora....kwakuwa uwanja wa sokoine umeharibiwa vibaya mno na tamasha la sanaa lililofanyika jana likiwahusisha WCB Rayvanny na Diamond, mpaka sasa hivi tunapozungumza...haufai kwa matumizi ya mchezo wa soka, na ni hatarishi kwa afya za wachezaji

    Ahsante

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic