MCHEZO kati ya Mbeya City na Yanga umemalizika uwanja wa Sokoine kwa timu zote kutoshana nguvu kwa kulazimishana sare ya bila kufungana.
Kipindi cha kwanza timu zote zilianza kwa kushambulia kwa zamu huku wakicheza mpira wa pasi ndefu kutokana na changamoto ya uwanja wa Sokoine baada ya mvua kunyesha ila hakuna mbabe aliyeona lango la mpinzani.
Dakika ya 41
Deus Kaseke alionyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu mchezaji wa Mbeya
City.
Mpira unachezwa Mbeya, nyie mnaweka picha za shamba la bibi! Wapi na Wapi? Try to dramatize your story in real the sense!
ReplyDeleteBora liende
Delete