Mchezaji wa Yanga Princess, Fatuma Bushiri maarufu kwa jina la Tshishimbi, amezungumzia kitendo cha Ofisa habari wa Simba, Haji Manara, kumposti kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika ujumbe wa kumkejeli kutokana na viatu alivyovivaa.
Haji analewa sifa sasa, kiukweli hata mkutano wa simba ni kama yeye ndio alikua mwenyekiti na aliharibu sana kiprotokali, kuna vitu si lazima uviseme maana kukaa kimya nayo ni busara, alianza kwa simu za Masau sasa anageukia kwa viatu
Manara anatakiwa awe muungwana amekuwa na tabia ya Ku post mapungufu ya kimaumbile ya watu wasiohusika kwa faida Yake, lakini watu wakionyesha mapungufu Yake anakimbilia kumuomba mungu awalipe kwa matusi yao! kama yuko tayari kuna watu wanajua kukutania kupitia maumbile Yake
Nadhani busara za huyu binti zitamtoa Haji katika giza alikojigubika na anapaswa kubadilika. Kwani mdomo usiposhirikisha kichwa ni tatizo kubwa.
ReplyDeleteHaji analewa sifa sasa, kiukweli hata mkutano wa simba ni kama yeye ndio alikua mwenyekiti na aliharibu sana kiprotokali, kuna vitu si lazima uviseme maana kukaa kimya nayo ni busara, alianza kwa simu za Masau sasa anageukia kwa viatu
ReplyDeleteUtani tu.Chill ut.Mlipokuwa mnaitania Simba nä watu wsje everything was fine.Leo kibao kimegeuka mnalia lia.
ReplyDeleteManara anatakiwa awe muungwana amekuwa na tabia ya Ku post mapungufu ya kimaumbile ya watu wasiohusika kwa faida Yake, lakini watu wakionyesha mapungufu Yake anakimbilia kumuomba mungu awalipe kwa matusi yao! kama yuko tayari kuna watu wanajua kukutania kupitia maumbile Yake
ReplyDelete