Mashabiki wa Klabu ya Yanga wametoa maoni yao juu ya baadhi ya wachezaji kuachwa na wengine kuondoka kutokana na sababu za kudai mishahara ya miezi miwili ambapo wamemtaka Mwenyekiti wa klabu hiyo kujiuzulu.
Kusiwe na visingizio dhidi ya wachezaji bali viongozi wameendekeza siasa na haya ndio matokeo rasmi ambayo yalitarajiwa. Mwanzoni kisingizio kilikuwa Zahera sasa kisingizio ni ukata baada ya kuitangazia dunia kwamba hakuna njaa tena baada ya udhamini kedekede. Bado kuna madudu mengi yanakuja maana Zahera alitamka kwamba ile kamati ya muda watu wake walikuwa hawana ujuzi lakini walikuwa na nafuu kuliko hawa viongozi sasa inaanza kudhihirika na unajiuliza ni sababu ipi ya kuchelewesha mchakato wa hisa na kwanini awali hawakusema kuna madeni makubwa siku ya KUBWA KULIKO badala yake kuaminisha umma kwamba madeni ni ya wachezaji pekee. Tusubiri matokeo
Huyu Juma Balinya tayari Simba wamemrubuni wakisaidiwa na Msola "mark my words"...Muda hakimu mzuri mtayasikia!
ReplyDeleteAtacheza nafasi ya nani? Asijekuozea benchi
ReplyDeleteSasa jamani ni Simba wanaoidai Yanga au ni Balinya ndo anaidai timu? Sasa Simba na Dkt. Msola wapi na wapi? Dawa ni kuwalipa stahiki zao basi.
ReplyDeleteKusiwe na visingizio dhidi ya wachezaji bali viongozi wameendekeza siasa na haya ndio matokeo rasmi ambayo yalitarajiwa. Mwanzoni kisingizio kilikuwa Zahera sasa kisingizio ni ukata baada ya kuitangazia dunia kwamba hakuna njaa tena baada ya udhamini kedekede. Bado kuna madudu mengi yanakuja maana Zahera alitamka kwamba ile kamati ya muda watu wake walikuwa hawana ujuzi lakini walikuwa na nafuu kuliko hawa viongozi sasa inaanza kudhihirika na unajiuliza ni sababu ipi ya kuchelewesha mchakato wa hisa na kwanini awali hawakusema kuna madeni makubwa siku ya KUBWA KULIKO badala yake kuaminisha umma kwamba madeni ni ya wachezaji pekee. Tusubiri matokeo
ReplyDeleteJamaa bonge la mchezaji but dah it passed like a shadow.
ReplyDeleteHuyu Msola kawa mwanachama Yanga mwezi wa 4 mwaka huu. Inadaiwa ni shabiki wa Simba kabla na kuna ushahidi wa picha!!!!
ReplyDelete