December 13, 2019

6 COMMENTS:

  1. Huyu Juma Balinya tayari Simba wamemrubuni wakisaidiwa na Msola "mark my words"...Muda hakimu mzuri mtayasikia!

    ReplyDelete
  2. Atacheza nafasi ya nani? Asijekuozea benchi

    ReplyDelete
  3. Sasa jamani ni Simba wanaoidai Yanga au ni Balinya ndo anaidai timu? Sasa Simba na Dkt. Msola wapi na wapi? Dawa ni kuwalipa stahiki zao basi.

    ReplyDelete
  4. Kusiwe na visingizio dhidi ya wachezaji bali viongozi wameendekeza siasa na haya ndio matokeo rasmi ambayo yalitarajiwa. Mwanzoni kisingizio kilikuwa Zahera sasa kisingizio ni ukata baada ya kuitangazia dunia kwamba hakuna njaa tena baada ya udhamini kedekede. Bado kuna madudu mengi yanakuja maana Zahera alitamka kwamba ile kamati ya muda watu wake walikuwa hawana ujuzi lakini walikuwa na nafuu kuliko hawa viongozi sasa inaanza kudhihirika na unajiuliza ni sababu ipi ya kuchelewesha mchakato wa hisa na kwanini awali hawakusema kuna madeni makubwa siku ya KUBWA KULIKO badala yake kuaminisha umma kwamba madeni ni ya wachezaji pekee. Tusubiri matokeo

    ReplyDelete
  5. Jamaa bonge la mchezaji but dah it passed like a shadow.

    ReplyDelete
  6. Huyu Msola kawa mwanachama Yanga mwezi wa 4 mwaka huu. Inadaiwa ni shabiki wa Simba kabla na kuna ushahidi wa picha!!!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic