December 2, 2019


Baada ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems kufutwa kazi ndani ya klabu hiyo, imeelewa Kocha wa Viungo, Adel Zrane, ameomba kwenda kwao kwa muda.

Zrane ambaye ni raia wa Tunisia ameaga kwenda kwao kwa ajili ya masuala ya kifahamilia na ikitajwa anaweza kuchukua takribani siku 10.

Maamuzi ya Zrane kuomba ruhusa yamekuja kufuatia timu hiyo hivi sasa haina mchezo wowote ambapo mechi yake ijayo itakuwa dhidi ya Ndanda FC itakayopigwa Disemba 30.

Wakati huo kikosi cha Simba kimekuwa kikiendelea na mazoezi kama kawaida chini ya Denis Kitambi ambaye amekaimu kwa muda nafasi ya Aussems.

1 COMMENTS:

  1. Licha kukosolewa aina ya uandishi wa vichwa vya habari blog bado inaziba masikio. Uandishi huu ni uchafu. Msione watu wanasoma rubish mkadhani habari zenu zinapendwa sana. Muungwana akikosolewa hujirekebisha but kwenu limekuwa gumu. MTU asiyebadilika akikosolewa hiyo si mstaarabu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic