December 27, 2019


NDEGE aina ya  Bek iliyokuwa imebeba abiria 95 na wahudumu watano  ilianguka uwanja wa ndege wa Almaty nchini Kazakhistan muda mfupi alfajiri (saa za huko) na kuua watu 14 na 35 kujeruhiwa.

Ndege hiyo ilikuwa ikielekea katika mji mkuu wa Kazakhstan wa Nursultan kutoka mji mkubwa wa Almaty ambapo inadaiwa ilipoteza mawasiliano baada ya kusafiri saa moja na dakika 22, kabla ya kugonga kizuizi kimoja na kuangukia nyumba ya ghorofa mbili.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic