December 29, 2019

3 COMMENTS:

  1. Hivi vitu ndivyo alivyotakiwa kufanya Ausems zamani sana pale simba,kuwapa nafasi na kuwaamini wachezaji wake wote ilikujua uwezo wa kila mchezaji.kazi ya mpira kwa mchezaji ni sawa na kazi ya aina yeyote ile kwa mfanyakazi kila unapoendelea kuifanya ndipo unapopata uzoefu na kujiamini zaidi ila tatizo kubwa la Aussems alikosa kujiamini kitu ambacho kiliwaasiri wachezaji wake vile vile kisaikolojia kwani alishindwa kabisa kuwaamni baadhi ya wachezaji licha ya baadhi yao kuwa na uwezo mzuri tu na kusababisha kushusha ari za baadhi ya wachezaji kupigania namba kwa kuaamini yakuwa hata wakijitahidi ni bure tu kwani kocha ana wachezaji wake tayari.

    ReplyDelete
  2. ha ha ha huyu mzungu pori anamaneno balaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic