December 29, 2019


INAELEZWA kuwa timu ya Polisi Tanzania imemkomalia Ditram Nchimbi ambaye amesajiliwa na Yanga kwa kudai kuwa bado ni mali yao.

Polisi wamesisitiza licha ya kuwa alikuwa kwao kwa mkopo akitokea Azam FC lakini wao walilipa fedha atue kwao na makubaliano ni mwaka nzima ambao haujaisha.


 Habari zinaeleza kuwa uongozi wa Polisi Tanzania kwa sasa unapambana kupata haki ya mchezaji huyo ambaye ameshasajiliwa na Yanga kwa kadarasi ya miaka miwili.

3 COMMENTS:

  1. Polisi mko sawa mlipewa na azam kwa mkopo kwa kipindi cha mwaka mmoja . Ombi letu ni kuwa tunawaomba nanyi muwape yanga kwa mkopo wa wiki moja hadi tarehe 4.1.2020 ili kisiwepo kisingizio cha aina yeyote

    ReplyDelete
  2. Polisi wanachokitafuta labda kumchelewesha mchezaji kucheza but kisheria Azam iko sawa kwa 100% na ataruusiwa kucheza yanga,wakasome sheria za soka sio kubwabwaja tu, sijawai kuona mkataba juu ya mkataba ndo nasikia kwa polisi!!! Kama walikubaliana na Azam kwa mdomo tu bila maandishi wajue imekula kwao!

    ReplyDelete
    Replies
    1. wapuuzi tu hao wanajisumbua......iko wazi kuwa atacheza yanga......labda wajitahidi kukomaa tu kama walivyotumwa na mabwana zao simba ili ashindwe kucheza mechi ya jmosi wakati uhalali unatafutwa lakini suala la kusajiliwa na yanga hawawezi kulizuia.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic