SAMATTA AMFUATA SALAH, SASA NI MWENDO WA KUVIMBIANA - VIDEO
Wakati akiwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika, Straika namba moja wa Tanzania, Mbwana Samatta ameamua Kumfuata adui wake, Mohamed Salah ambapo kwa sasa wawili hao wapo chini ya Menejimenti Moja.
Samatta ambaye ni Nahodha wa Taifa Stars ameungana na Salah anayekipiga Liverpool ya England ambapo wawili hao kwa sasa watakuwa wanasimamiwa na kampuni Moja ya Uwakala ya SPOCS GLOBAL.
0 COMMENTS:
Post a Comment